RAIS DK.MWINYI ZIARA KUANGALIA KUHARIBIKA KWA MIUNDOMBINU YA MAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Mji wa Zanzibar inapatiwa ufumbuzi wa haraka ili wananchi waendelee kupata huduma hiyo ipasavyo. Dk. Mwinyi ametoa agizo hilo leo wakati alipotembelea na kukagua